iqna

IQNA

imam ali
Makala
IQNA-Mnamo tarehe 20 Mfunguo Tisa, Jumada-Thani, mwaka wa tano kutokea Kubaathiwa Bwana Mtume, uliosadifiana na mwaka 615 Miladia, nyumba ya Nabii Muhammad (SAW) Mjumbe wa Mwenyezi Mungu na mkewe Bibi Khadija katika mji wa Makka, iliangazwa na nuru ya kuzaliwa mwana mtukufu. Mwenyezi Mungu aliwabariki watukufu hao wawili binti ambaye, alikuja kuendeleza kizazi kitoharifu cha Bwana Mtume SAW.
Habari ID: 3478135    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/02

Harakati za Qur'ani Tukufu
IQNA - Wahifadhi na wasomaji Qur'ani kutoka nchi 12 walishiriki katika toleo la mwaka huu la mashindano ya Qur'ani yaliyoandaliwa na Kituo cha Dar-ul-Quran cha Imam Ali (AS) nchini Iran.
Habari ID: 3478045    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/16

Njia ya Ustawi/ 6
TEHRAN (IQNA) – Mafundisho ya Uislamu yanasisitiza juu ya Tarbiyah au malezi ya nafsi, ambayo ina maana ya kurekebisha na kuitakasa tabia.
Habari ID: 3477977    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/02

Shakhsia katika Qur’ani Tukufu /26
TEHRAN (IQNA) – Utafiti wa hadithi za Mitume wa Mwenyezi Mungu unaonyesha kwamba kila mmoja wao alikuwa na sifa maalum. Harun (AS), kwa mfano, alikuwa mzungumzaji na alikuwa na uwezo wa kushawishi.
Habari ID: 3476394    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/12

Nukuu kutoka kwa Nahj al-Balagha / 1
TEHRAN (IQNA) – Mwanasosholojia na mtafiti anasema tunapaswa kuwa na ufahamu mpya wa Imam Ali (AS) kwani alikuwa mwanafikra wa hadhi ya juu na hilo linadhihirika wakati unaporejea kwenye vipengele vya kimaanawi na kiroho vya fikra zake.
Habari ID: 3476091    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/15

TEHRAN (IQNA)- Kituo cha Imam Ali AS cha Vienna, Austria kimeanzisha mpango wa kuhifadhi Qur'ani kwa njia ya intaneti.
Habari ID: 3475253    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/15